Mkurugenzi Mtendaji anawatangazia wazazi pamoja na wanafunzi wote zoezi la kubadilisha Tahasusi za Kozi za vyuo kwa wanafunzi waliomalioza kidato cha nne mwaka 2019 na wanaotarajia kujiunga na elimu ya kidato cha tano na vyuo mbalimbali nchini limeanza na litaanza kutekelezwa kuanzia tarehe 25 March mpaka 19 April hivyo kama kuna maboresho au mabadiliko kwenye machaguo hayo fanyeji mapema kuepuka usumbufu.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.