• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wananchi Halmashauri ya Wilaya ya Babati Watakiwa Kuuza Mahindi Kwa Kufuata Utaratibu

Posted on: May 7th, 2019

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Babati limeagiza Wananchi wanaotaka kuuza mahindi mabichi kuomba kibali cha kuuza Mahindi mabichi kuanzia sasa katika Ofisi za Watendaji wa Vijiji na Kata ili kulinda usalama wa chakula kwa muuzaji. Hayo  ameyasema leo Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya Mheshimiwa Nicodemus Tarmo Kwenye Mkutano wa Kwanza wa Baraza hilo wa kujadli taarifa za Kata uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati ,Katika Mkutano huo baadhi Waheshimiwa Madiwani walitaka uuzaji wa mahindi mabichi usitishwe na wengine wakisema Wananchi waachiwe wakauze mahindi popote.Baada ya mjadala mrefu,ndipo ikaamuliwa Wananchi waruhusiwe kuuza Mahindi mabichi kwa kufuata utaratibu wa mwananchi kuomba kibali cha kuuza Mahindi mabichi Ofisi za Kata na Vijiji ili kulinda usalama wa chakula kwa muuzaji na Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kwa ujumla

Pia Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Elizabeth Kitundu ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Babati  kuweka Watendaji wa Vijiji katika Ofisi za Vijiji na Kata wanaoeleweka katika nafasi hizo ili kuharakisha ujenzi wa miradi ya Maendeleo na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019.Mkuu wa Wilaya ya Babati amesema hayo Leo kwenye Mkutano wa  kwanza wa Baraza la Madiwani la H/Wilaya ya Babati uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kujadili taarifa za kata. "Ofisi za Vijiji na Kata ziwe na Watendaji wanaoeleweka hata kama akikaimishwa akaimishwe Mtendaji kwa Barua na awe mwadilifu hasa tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 amesisitiza kiongozi huyo

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 25, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 03, 2024
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 11, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Afisa Mwandikishaji Afungua Mafunzo Awamu ya Pili Uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    May 15, 2025
  • Uongozi wa IPOSA waipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Babati.

    May 13, 2025
  • Naibu Waziri Sillo Azindua Bweni la Wasichana Wiayani Babati

    May 10, 2025
  • Viongozi wa Kisiasa Wakubali Kutoa Elimu Awamu ya Pili Daftari la Wapiga Kura

    May 08, 2025
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.