Wananchi wa Kijiji cha Endasago kata ya Arri Halmashauri ya Wilaya ya Babati wametakiwa kutunza miradi inayojengwa na serikali na wadau wa maendeleo. Hayo yamesemwa na Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof Kitila Mkumbo leo wakati akizindua mradi mkubwa wa Maji katika kijiji hicho. "Serikali na wadau wa maendeleo wanajenga miradi mingi ni wajibu wa wananchi kutunza miradi hiyo" amesisitiza Waziri. Wakati huohuo ameishukuru shirika la Karimu Foundation kwa kutoa fedha kiasi cha Tshs Billion 2.5 kwa ajili ya ujenzi wa miradi wa Maji Arri
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.