Katika hali ya furaha isiyo na kifani Halmashauri ya wilaya ya Babati yapata shule bora kati ya shule kumi bora zilizotangazwa na Baraza la Mitihani, Shule hiyo ya Dareda Sekondari ambayo imeshika nafasi ya kumi imeibuka kidedea katika matokeo hayo ambayo imeshika nafasi ya kumi
Bofya hapo chini kutazama matokeo yote ya mtihani wa kidato cha sita.
MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE 2020)
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.