Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Ndg Hamisi Idd Malinga anawatangazia Watumishi na wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kushiriki maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yatakayofanyika ki-Mkoa katika Uwanja wa Kwaraa mjini Babati kuanzia saa 2.00 Asubuhi." Umoja ,Amani na Mshikamano Vidumu Manyara." Mgeni Rasmi ni mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Pastory Mnyeti.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.