• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kuelekea Kilele Cha Mbio za Mwenge Halmashauri Yaziomba NGOs Kutoa Elimu ya Mazingira

Posted on: April 3rd, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara itaendelea kushirikiana na Mashirika yasio ya Kiserikali (NGOs) katika kupambana na umasikini na kuwaletea maendeleo Wananchi . Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg . Benedict Ntabagi leo kwenye kikao cha wadau wa maendeleo kilichofanyika ofisi za Makao ya  Halmashauri ya Wilaya ya Babati" Halmashauri ya Wilaya ya Babati itaendelea kushirikiana na NGOs katika kupambana na umasikini wote tuungane pamoja" amesisitiza kiongozi huyo. Katika taarifa yake iliyosomwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Ndg January Bikuba amesisitiza NGOs kujikita kuwezesha Wananchi katika utunzaji wa mazingira ikiwa ni pamoja na kutoa Elimu na upandaji miti kwa vitendo na kuwaeleza kila wanapokutana na changamoto katika kutekeleza kazi zao wasisite kuwasiliana na ofsi ya Mkurugenzi ili itatuliwe. Halmashauri ya Wilaya ya Babati imejiwekea utaratibu Kila robo mwaka inakutana na Wadau wa maendeleo kwa lengo la kujadili taarifa ya utekelezaji na kuweka Mpango mkakati kwa kazi zitakazofanyika kwa robo mwaka unaofuata.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGA KURA October 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 06, 2025
  • MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA MADIWANI December 01, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Naibu Spika Asisitiza Mshikamano na Ushirikiano katika Jimbo Lake

    December 03, 2025
  • DC Kaganda Awataka Madiwani Kuwa Walinzi Wema wa Amani Katika Maeneo Yao

    December 03, 2025
  • Madiani Waliochaguliwa Watakiwa Kuzingatia Vipaumele Vya Serikali

    December 03, 2025
  • Mkurugenzi Awasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Halmashauri Mara Baada ya Madiwani Kumaliza Muda wao

    December 03, 2025
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.