Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Manyara Mhe Simon Lulu amepongeza Uongozi wa Wilaya na Halmashauri ya Wilaya ya Babati kwa ujenzi na usimamizi mzuri wa Hospitali ya Halmashauri inayojengwa Kata ya Mwada katika Kijiji cha Mwada.Kiongozi huyo ameyasema hayo leo kwenye ufunguzi wa Maadhimisho ya Miaka 44 ya CCM Mkoa wa Manyara yaliyoanza Leo katika kata hiyo." Tumekagua jengo na kuridhika ,kweli uongozi wa H/ W ya Babati umetekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa Vitendo" Tunawapongeza; Amesisitiza kiongozi huyo.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.