Halmashuri ya wilaya ya Babati imepokea fedha za maendeleo ya ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya uviko-19 ambazo zitatumika katika ujenzi wa madarasa ya shule zote nchini hivyo halmashuri inatangaza tenda za ujenzi wa madarasa katika shule za sekondari na shule za msingi shikizi hivyo wananchi wenye sifa wanatangaziwa kuomba tenda za ujenzi wa madarasa hayo
FEDHA ZA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YAN UVIKO 19.pdf
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.