• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Baraza la Madiwani Babati DC wamshukuru Mhe Rais

Posted on: August 3rd, 2022

Baraza la Madiwani H/ Wilaya ya Babati wameishukuru serikali kuu kwa kutoa fedha za ujenzi wa jengo la Utawala Makao makuu ya H/ Wilaya ya Babati. Mwenyekiti wa H/ Wilaya ya Babati Mhe. John Noya  ameyasema hayo  leo kwenye kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika kwa mara ya kwanza kwenye jengo jipya la H/Wilaya ya Babati lillilojengwa kijiji cha Endasago kata ya Arri " Sisi Baraza la Madiwani tunamshukuru  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu  Hassan kwa kutoa fedha za ujenzi wa jengo jipya ambalo tumeanza kulitumia leo" amesisitiza kiongozi huyo . Mpaka sasa Serikali kuu imeishatoa fedha kiasi cha Tsh 2 billioni kwa ajili ya  ujenzi wa jengo la makao makuu ya H/Wilaya Babati. H/Wilaya ya Babati imehamia makao mapya kuanzia leo trh 3/8/2022.ambapo huduma zote zitapatika ktk ofisi hizo.

Matangazo

  • KUWAKARIBISHA AJIRA MPYA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI July 05, 2022
  • MAJINA YA VITUO VYA KUANDIKISHA NA ORODHA YA MAJINA YA BVR KIT OPERATORS NA WAANDISHA WASAIDIZI WALIOCHAGULIWA July 26, 2019
  • FOMU ZA UJENZI WA VIBANDA VYA BIASHARA KATA YA GALLAPO April 09, 2020
  • KUONGEZWA MUDA MAOMBI YA UJENZI VIBANDA VYA BIASHARA KATA YA GALLAPO June 10, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC Twange wananchi waendelee kuhamasishwa kuhusu Sensa

    August 04, 2022
  • Baraza la Madiwani Babati DC wamshukuru Mhe Rais

    August 03, 2022
  • Makundi Maalum Yatangaziwa Kuomba Mikopo Isiyo na Riba

    July 27, 0202
  • Washiriki wa UMISETA Watakiwa Kujituma

    July 25, 2022
  • Angalia zote

Video

MAENDELEO YA MIRADI YA FEDHA ZA UVIKO19
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.