Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati Bi Anna P Mbogo amewataka watumishi waliopangiwa vituo vya kazi katika halmashauri ya Babati wafike mapema, wasajiliwe ili taratibu nyingine za kiutumishi zifanyike.Amesisitiza kutokana na wimbi la utapeli watumishi hao wa ajira mpya kutumia namba za simu halali zilizopo katika tovuti ya halmashauri na kufata maelekezo yote yatakayowawezesha kufika katika vituo vyao vya kazi.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.