Friday 27th, December 2024
@
Mbunge wa jimbo la Babati Vijijini Mkoani Manyara Mhe. Jittu Soni ameshauri wananchi kufanya Mazoezi ili kuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza Mfano Pressure na Kisukari. Mbunge huyo ameyasema hayo kwenye kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya- Babati Kilichofanyika katika Ukumbi wa H/Wilaya ya Babati na kuwasisitiza madiwani wahamasishe jamii ifanye mazoezi ili kuepukana na Magonjwa ya Kisukari na Pressure.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.