• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Maofisa Ugani watakiwa kutoa ushauri stahiki kwa wakulima

Posted on: August 20th, 2018

Maofisa Ugani wametakiwa kutoa ushauri stahiki ili wakulima walime kwa tija na ufanisi waweze kuongeza pato lao na kukuza uchumi wa nchi. Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Elizabeth Kitundu leo kwenye Hafla fupi ya uzinduzi wa ununuzi wa zao lá Pamba kwa msimu wa mwaka  2018/2019 iliyofanyika kwenye viwanja vya chama chá Msingi Oridoy Kata ya Mwada  Halmashauri ya Wilaya ya Babati. Mkuu wa Wilaya pia amewaeleza Wakulima na Wafanyabiashara kuwa kwa maelekezo ya Serikali mazao yatakusanywa na kuuzwa kupitia vyama vya Msingi na malipo ya fedha kwa kila Mkulima yatalipwa kupitia bank na hivyo kuwataka Wakulima kufunga akauti Bank. Chama chá Msingi Oridoy kwa msimu huu kitanunua Pamba Kwa kilo Tsh 1,100 kwa Pamba daraja la kwanza na daraja la  Pili Tsh 600. Kabla ya uzinduzi wa Ununuzi wa Pamba Mhe. Mkuu wa Wilaya ametembelea Kiwanda cha kuchambu pamba chá Hanang Cotton Mill kilichopo kijiji cha Mawemairo Kata ya Magugu kinachomilikiwa na Mwekezaji Rajesh Atiya na kuona maandalizi ya uchambuzi wa Pamba kwa msimu mwaka 2018/2019.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 25, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 03, 2024
  • TANGAZO LA UKODISHAJI VIBANDA KITUO CHA AFYA MAGUGU January 09, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Viongozi wa Kisiasa Wakubali Kutoa Elimu Awamu ya Pili Daftari la Wapiga Kura

    May 08, 2025
  • Wajumbe wa Baraza la Madiwani Waishukuru Serikali

    May 07, 2025
  • Wananchi Jitokeze Kuboresha Taarifa Kwenye Zoezi la Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

    May 07, 2025
  • Kituo Cha Afya Gallapo Kimepata Gari la Wagonjwa

    May 07, 2025
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.