Picha. Mwenyekiti wa CCM. Wilayani Babati Ndg Abdilahi Mdoe akiongoza Wajumbe wa kamati ya Siasa kukagua miradi ya maendeleo katika Kata za Magara, Kisangaji, Mwada, Magugu na Nkait ktk Halmashauri ya Wilaya ya Babati ambao wametembelea miradi ya Afya, Elimu na kushauri wananchi kuchangia ktk shughuli za maendeleo ili miradi hiyo iweze likamilika na Kutumik
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.