1 .Mikopo ya wanawake
Unajaza fomu ya kuomba mkopo,ukiambatanisha nakala ya katiba ya kikundi pamoja na cheti cha usajili.Fomu na maelekezo fika Halmashauri chumba Na 13
2 .Mikopo ya Vijana
Unajaza fomu ya kuomba mkopo,ukiambatanisha nakala ya katiba ya kikundi pamoja na cheti cha usajili.Fomu na maelekezo fika Halmashauri chumba Na 15
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.