Wananchi katika Halmashauri ya wilaya ya Babati hutegemea zaidi Biashara ya Mazao hasa ya Biashara, mazao ya biashara husafirishwa kwenda mikoa mingine na nchi jirani, Biashara huipatia Halmashauri pato kwa kutoza wafanyabiashara ushuru unaokusanywa na mawakala kwa kutumia mashine za kielekroniki, Hivyo Halmashauri ya wilaya ya Babati inawakaribisha wananchi wote kununua na kusafirisha mazao ili kuiongozea pato Halmashauri ya wilaya ya Babati.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.