Wananchi wote jimbo la babati vijijini daftari la wapiga kura awamu ya pili lipo wazi.Fika kituooni kwako hakiki taarifa zako kama si sahihi fika ofisi ya halmashauri ya zamani kwa ajili ya kurekebisha taarifa binafsi, mfano JINA KAMILI,JINSIA,UMRI, TAREHE YA KUZALIWA hizi ni taarifa ambao unaweza kurekebisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili
Zingatia: Taarifa za kituo cha kupiga kura hazitabadilishwa.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.