Posted on: January 23rd, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara inatarajia kukusanya na kutumia kiasi chaTsh 59,091,932,000 kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Wakijadili na kupitisha mapendekezo ya makadirio ya mpango na b...
Posted on: January 19th, 2024
Serikali inatarajia kujenga shule mpya ya Sekondari katika kata ya Dareda H/ Wilaya ya Babati. Mwenyekiti wa H/ Wilaya ya Babati Mhe. John Noya ameyasema hayo leo kwa nyakati tofauti kukagua maeneo ya...
Posted on: January 19th, 2024
Mwenyekiti wa H/ Wilaya ya Babati Mhe. John Noya amepongeza Shirika la So they Can Tanzania STC kwa kushirikiana na wananchi wa Kitongoji cha Kifaru juu kijiji cha Endakiso kata ya Endakiso Kujenga sh...