• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Taasisi na Mashirika Watakiwa Kushirikiana na Halmashauri

Posted on: January 29th, 2021

Baraza la Madiwani la H/Wilaya ya Babati  limewataka Wadau wa Maendeleo, Mashirika  na Idara za Serikali na Halmashauri kushirikiana kwa pamoja kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo. Hayo ameyasema M/Kiti wa H/ Wilaya ya Babati Mhe. John Noya leo kwenye Mkutano Maalum wa siku ya Pili wa Baraza hilo wa Kujadili Mpango na Bajeti kwa mwaka 2021/2022 kwa Wadau wa Maendeleo , Mashirika na Idara za serikali uliofanyika Makao Makuu ya H/W -Kijiji cha Loto kata ya Dareda . "Nyinyi Wadau wa Maendeleo, Mashirika na Idara za Serikali na Halmashauri ,wote kwa pamoja tunafanya kazi  kuwaendeleza wananchi ni lazima tushirikiane" amesisitiza kiongozi huyo. Katika mkutano huo wajumbe wameliomba shirika la TANESCO  kutumia lugha nzuri  na kupokea simu wanapopigiwa  na Wananchi. Mashirika na Wadau wa Maendeleo waliowasilisha Mipango na Bajeti ni TARURA, RUWASA,TANESCO, NHIF na  KARIMU Internationa .Katika kikao hicho wajumbe wamepongeza Wadau wa maendeleo na Mashirika kwa mipango na kazi nzuri wanazozifanya ktk H/W ya Babati

Matangazo

  • MAJINA YA VITUO VYA KUANDIKISHA NA ORODHA YA MAJINA YA BVR KIT OPERATORS NA WAANDISHA WASAIDIZI WALIOCHAGULIWA July 26, 2019
  • ZOEZI LA KUBADILI TAHASUSI NA KOZI ZA VYUO March 25, 2020
  • FOMU ZA UJENZI WA VIBANDA VYA BIASHARA KATA YA GALLAPO April 09, 2020
  • KUONGEZWA MUDA MAOMBI YA UJENZI VIBANDA VYA BIASHARA KATA YA GALLAPO June 10, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Miundombinu Bora Chachu ya Maendeleo

    February 11, 2021
  • Halmashauri Yapongezwa, Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya

    January 30, 2021
  • Taasisi na Mashirika Watakiwa Kushirikiana na Halmashauri

    January 29, 2021
  • Baraza la Madiwani Lapitisha Makisio ya Bajeti Bilioni 54-Wito Watolewa Kasi ya Ukusanyaji Mapato

    January 28, 2021
  • Angalia zote

Video

Wanakijiji wa Sangara pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati wakipokea wadhamini wa mradi wa maji kwa shangwe
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.