NGOs Wilayani Babati zimetakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano wa karibu sana na Serikali ili kuwaletea wananchi maendeleleo endelevu. Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Eng. Raymond Mushi kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri cha Wilaya kinachoendelea leo kwa Siku ya Pili ukumbi wa H/W ya Babati na kuhusisha NGOs mbalimbali zinazofanya kazi ndani ya Wilaya ya Babati ambazo zimewasilisha taarifa zao. Mwakilishi wa Rift Wall Farmer Association amewaambia Wajumbe kwenda na kupeleka watalii ktk eneo lá Darakuta Ranch ili kujionea utalii wa wa Wanyama mbalimbali kama Kobe na wengine ili kuongeza pato lá wananchi wanaozunguka ktk vijiji Jiran.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.