Halmashauri ya Wilaya ya Babati imeanza utaratibu wa kuhamishia makao Makuu yake kwa muda katika Kijiji cha Loto Kata ya Dareda Tarafa ya Bashnet maeneo ya AMREF,Akiongea leo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya na Watumishi wanaofanyakazi makao Makuu,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Ndg Hamis Iddi Malinga amesema utaratibu wa watumishi kuhamia Kata ya Dareda unaanza Leo trh 23/10 kwa kutii maagizo ya Serikali yanayotaka Halmashauri zinazofanya kazi zikiwa kwenye mamlaka ya Halmashauri nyingine kuondoka kabla ya tarehe 30/10/2019.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.