Tovuti za Serikali za Mikoa na serikali za Mitaa zinategemewa kuzinduliwa Jumatatu tarehe 27/03/2017 katika ukumbi wa Hazina Ndogo katika Manispaa ya Dodoma mara baada ya Maofisa Tehama na Maofisa Habari kumaliza mafunzo yao yalioanza tarehe 20/3/2017 katika Ukumbi wa Royal Village Manispaa ya Dodoma
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.