Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia Wananchi wote kuwa kutakuwa na mnada wa hadhara wa kuuza mali chakavu za Halmashauri ya wilaya ya Babati utakaofanyika eneo la Mrara katika yadi ya ujenzi siku ya jumamosi tarehe 19/5/2018 kuanzia saa nne asubuhi.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.