Wananchi wote HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI wanatangaziwa Kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Madiwani utakofanyika KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI Tarehe 4-5/05/2017 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI ili kusikiliza taarifa za utekeleza wa shughuli za maendeleo zilizofanyika kwa kipindi cha Robo Mwaka Januari hadi April 2017
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.